NEEC yawaita wadau uwezeshaji wananchi kiuchumi
Dar es Salaam. Wadau takribani 700 wa masuala ya uwezeshaji wananchi kiuchumi wanatarajiwa kukutana jijini Dodoma, kwa siku mbili kufanya tathmini ya utekelezaji wa mikakati ya uwezeshwaji wa wananchi pamoja na changamoto zake. Hayo yamebainishwa leo Novemba 16, 2024 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa katika mkutano…