
Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG – Global Publishers
Dar-es-Salaam, Agosti,26,2025, Vodacom Tanzania imezindua Ripoti ya ESG ambayo inalenga utekelezaji wa teknolojia ya Kidigitali kufika Dira 2050. Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo uliofanyika mapema Leo, jijini Dar-es-Salaam, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mipango na Uwekezaji,Mh.Prof.Kitila Mkumbo, amesema anawashukuru na kuwapongeza Kampuni hiyo ya Vodacom kwa kuandaa mdaharo mzuri wa kuandaa Watanzania katika Utekelezaji wa Dira…