Morice Abraham amuibua kocha Simba, aomba ulinzi
WAKATI nyota ya kiungo Morice Abraham ikizidi kung’ara ndani ya Simba, kocha wa zamani wa kikosi hicho, Fadlu Davids ameshindwa kujizuia na kuweka wazi kama kuna kitu klabu hiyo imelamba dume msimu huu, ni kumsajili mchezaji huyo. Morice aliyekuwa akiichezea RFK Novi ya Serbia, ametua Simba msimu huu akisajiliwa na Fadlu kabla ya kocha huyo…