
Kanisa laingilia mvutano mazishi ya Rais Lungu
Lusaka. Zikiwa zimetimia siku 82 tangu Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu (68), afariki dunia, mvutano wa mazishi yake umewaibua viongozi wa dini ambao wametoa wito kwa Serikali kuanzisha majadiliano ya haraka na dhati kwa familia yake. Tangu kufariki dunia kwa Lungu, Juni 5, 2025 Serikali ya Zambia imeingia kwenye mvutano na familia kuhusu…