Wapinzani Ngorongoro Heroes hadharani leo

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo itafahamu kundi itakalopangwa na wapinzani itakaocheza nao kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri kama huo (AFCON) mwaka huu huko Misri. Fainali hizo zitafanyika kuanzia Aprili 27 hadi Mei 18 zikishirikisha timu 13 za taifa za vijana chini…

Read More

WPL kuna viporo vitatu vinaliwa leo

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL), inatarajiwa kuendelea tena kwa kupigwa mechi tatu za viporo zitakazopigwa leo kwenye viwanja vitatu tofauti ikiwemo moja ya JKT Queens dhidi ya Bilo Queens. Viporo vitatu vya raundi ya kwanza vilipigwa Desemba 8, Alliance Girls iliondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gate Princess, mechi ya JKT vs…

Read More

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA USAID WANAWAKE SASA

Na WMJJWM-DAR ES SALAAM Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema Mradi wa Wanawake unaotekelezwa Shirika la WiLDAF kwa kushirikiana na Mashirika ya Her Initiative na Jamii Forums, kwa ufadhili wa Watu wa Marekani (USAID) wenye thamani ya Tsh. Bilioni 8.1 utaleta chachu na kuongeza ushiriki wa…

Read More

Rais Samia aeleza sababu kuifungua Dodoma

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja umuhimu wa kujengwa kwa miundombinu ya kisasa katika Jiji la Dodoma, akiwahimiza wananchi kuitumia miundombinu hiyo kuboresha na kukuza shughuli zao za kiuchumi. Ametoa kauli hiyo leo Juni 14, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara jijini Dodoma, baada ya kufanya ukaguzi wa barabara ya Mzunguko wa Nje na Uwanja…

Read More

Friji la mkaa kuwakomboa wakulima Tanzania

Dar es Salaam. Ukitazama mwonekano wake unaweza kudhani ni nyumba lakini ni jokofu la mkaa (friji) maalumu kwa kuhifadhi mazao yanayoharibika mapema. Ni friji lililotengenezwa kwa kutumia mkaa na maalumu kwa ajili ya kutunza mazao yanayoharika haraka yanapotolewa shambani ili kuwaepusha wakulima wasipate hasara baada ya mavuno. Friji hilo hutumika katika kuhifadhi mazao ya mbogamboga…

Read More

Dereva, kondakta na abiria mbaroni wakidaiwa kumpiga trafiki

Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18 wakiwamo abiria 16, dereva na kondakta kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo limetokea juzi Jumatano Septemba 18, 2024, saa 12 jioni. Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Trafiki Kuu, Butusyo Mwambelo amesema askari huyo alikumbwa na kipigo wakati…

Read More

Chalamila asisitiza amani, ataka wananchi wasidanganyike

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuimarisha amani akisema haijengwi kwa kumwaga damu bali kwa kuelewana. Amesema hayo leo Septemba 28, 2024 akiwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya amani Mkoa wa Dar es Salaam yalifanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga wilayani Temeke. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo…

Read More