Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania na ujumbe wake wamtembelea Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ofisini kwake.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kushoto), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser, alipofika kumtembelea akiwa na ujumbe wake, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe wake wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kushoto), akisalimiana na Mkuu…