
Wekundu wa Msimbazi Wasogeza Tarehe ya Hafla ya Jezi Mpya – Global Publishers
Klabu ya Simba SC imetangaza kusogeza mbele tarehe ya uzinduzi wa jezi zake mpya kwa ajili ya msimu wa 2025/26. Awali, hafla hiyo ilikuwa ifanyike Agosti 27, 2025, lakini sasa itafanyika Agosti 31, 2025. Kupitia taarifa ya klabu, sababu za mabadiliko hayo hazijawekwa wazi, licha ya mashabiki wengi kusubiri kwa hamu tukio…