LHRC yatia neno sakata matukio ya Simiyu
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wazi kuhusu matukio yaliyotokea, Wilaya ya Busega mkoani Simiyu kikidai uwajibikaji kutoka kwa waliohusika. Kituo hicho pia kimehimiza vyombo vya usalama kuheshimu haki za binadamu na kurejesha imani ndani ya jamii, ambayo imeporomoka kutokana na matukio…