
Mkurugenzi Mtendaji MCL Rosalynn ahimiza ushirikiano kufikia malengo Dira 2050
Mkurugenzi Mtendaji Mwananchi Communications Limited (MCL), Rosalynn Mndolwa-Mworia amesema ushirikiano ni nguzo muhimu katika dhumuni la ubunifu wa kidijitali, kulinda mazingira yetu na kuwawezesha watu kuelekea mwaka 2050. Ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 26, 2025 kwenye uzindunzi wa mfumo jumuishi wa Mazingira, Kijamii na Utawala (ESG) wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayoshirikiana na…