Aucho ampa mzuka Gego Singida Black Stars
KIUNGO wa Singida Black Stars, Khalid Habib ‘Gego’ amesema ndoto imetimia baada ya uongozi kuinasa saini ya Khalid Aucho, mchezaji ambaye amekuwa akimfuatilia na kujifunza vitu kutoka kwake sasa atacheza naye timu moja. Mwanaspoti liliwahi kufanya mahojiano na kiungo huyo ambaye alidai kumkubali Aucho kipindi anacheza Yanga , ila sasa ni rasmi watacheza pamoja msimu…