
MWANDISHI MKONGWE WA HABARI SAID NJUKI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE ARUSHA MJINI KUPITIA ACT-WAZALENDO
Na Pamela Mollel, Arusha. Zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi ya ubunge nchini linaendelea kushuhudia sura mpya na za kuvutia, ambapo leo Jumatatu, Agosti 25, 2025, mwandishi wa habari mkongwe, Said Salim Njuki, amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Njuki alifika mapema katika…