Mwanafunzi apotea Babati wakiwa kwenye ziara ya masomo

Arusha. “Anayehitajika kuwajibika ni uongozi wa shule, wao ni wazembe. Ninamtaka mtoto wangu akiwa hai, siyo kwamba tunashidwa kukaa naye nyumbani, tumewaletea watoto wetu muwatunze, hatudaiwi chochote. “Halafu unaniambia mnampeleka safari haonekani, hapana haiwezekani, hata jana (Septemba 16) mbele ya Ofisa wa Upelelezi nimewaambia nahitaji mtoto wangu akiwa hai, kama hawana ulinzi, ni nini walienda…

Read More

ULEGA ATAKA WAZAWA WAPEWE KIPAUMBELE UJENZI WA BARABARA

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha unatoa kipaumbele kwa vijana wazawa katika ujenzi wa miradi ya barabara inayoendelea nchini ili kupata ajira, kukuza ujuzi na uchumi kwa watanzania. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Ndungu wilayani Same katika hafla ya kumkabidhi Mkandarasi China Communication Construction Company (CCCC), anayejenga barabara…

Read More

Fikirini, Masalanga wapishana Singida Black Stars

UONGOZI wa Tabora United uko hatua za mwisho kukamilisha usajili wa aliyekuwa kipa wa Singida Black Stars, Fikirini Bakari kwa mkopo baada ya nyota huyo kuachana na Fountain Gate alikocheza kwa mkataba wa miezi sita. Nyota huyo aliyekuwa akiichezea pia Fountain Gate kwa mkopo akitokea Singida, amepelekwa Tabora huku uongozi wa kikosi hicho wakimrejesha kipa…

Read More

DC Mwanziva:  Kina baba pelekeni watoto wapate chanjo

Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva amewataka wanaume kujitokeza kuwapeleka watoto kliniki ili matone ya vitamini A na dawa za minyoo, badala ya kuwaachia wanawake jukumu hilo. Utoaji wa huduma hiyo ulioanza Desemba mosi na utaendelea hadi Desemba 30 mwaka huu, umelenga kuwafikia watoto 20,668 katika Manispaa ya Lindi. Akizindua kampeni hiyo ya…

Read More

Charles Hillary azikwa kwao Zanzibar, wakongwe wamlilia

Unguja. Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Charles Hillary ikitamatika rasmi kwa kupumzishwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja, baadhi ya waandishi na watangazaji wakongwe wamemzungumzia kama mtu aliyekuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya habari. Charles alizaliwa October 22,1959…

Read More