TANZANIA YAONGEZA KASI KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU; WITO WA USHIRIKIANO WATOLEWA

Na John Mapepele Waziri wa Afya, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania leo, Machi 24, 2026 imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, siku maalum inayolenga kuongeza jitihada za kupambana na ugonjwa huu hatari unaoendelea kuathiri mamilioni ya watu duniani. Amewataka watanzania kuendelea kushirikiana na Serikali ili kutokomeza ugonjwa huo hapa nchini….

Read More

Watoto 162,099 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio.

Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vincent Anney, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanzia miaka sifuri hadi 10 wanapatiwa chanjo ya matone ya polio ili kuwalinda dhidi ya ugonjwa huo, unaoweza kusababisha ulemavu wa kudumu. Rai hiyo imetolewa leo Machi 24, 2026 wakati akizindua rasmi kampeni ya…

Read More

Ushiriki wa wanawake siasa na uongozi waongezeka Zanzibar

Unguja. Licha ya wanawake kukumbana na changamoto kwa muda mrefu, imeelezwa kuwa mwanga na matumaini yameanza kuonekana kufuatia kuongezeka kwa uelewa, ujasiri na ushiriki wao katika siasa na uongozi. Hayo yamebainika Machi 24, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyowakutanisha wadau mbalimbali Zanzibar. Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi Wanawake (Tamwa ZNZ), Nairat Abdulla…

Read More

Tanzania yawahakikishia wawekezaji mfumo bora wa kodi

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imewahakikishia wawekezaji kuwepo kwa mazingira bora, ya haki na yanayotabirika katika mfumo wa kodi kufuatia dhamira ya kutekeleza kikamilifu mapendekezo 284 ya maboresho ya mfumo wa kodi yaliyoanzishwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Uhakikisho huo umetolewa wakati wa Mkutano wa Kubadilishana Uzoefu na Mafunzo ya Kodi kati ya Tanzania…

Read More

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Awasili Arusha Kongamano la 5 la Idhaa za Kiswahili Dunianiss

Bakari Mahundu March 24, 2026 0 Comments Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla akiongozana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, wakati akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), linapofanyika Kongamano la Tano la Idhaa za Kiswahili Duniani, leo Machi 24,…

Read More

Ukraine yageukia gesi ya Msumbiji kukabili uhaba

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameeleza mpango wake wa kutaka kuagiza gesi asilia kutoka Msumbiji ikiwa ni juhudi za kukabiliana na uhaba wa rasilimali hiyo nchini mwake, ambapo miundombinu yake imeharibiwa kutokana na vita dhidi ya Urusi. Zelensky amefanya mazungumzo na mwenzake wa Msumbiji, Rais Daniel Chapo, jana Jumatatu Machi 23, 2026 na kueleza hatua…

Read More

MAELEKEZO YA MRAJIS KWA VYAMA VYA USHIRIKA KUTUMIA MIZANI ZA KIDIGITALI KATIKA UPIMAJI WA MAZAO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika vya Mazao nchini kutumia mizani za kidigitali katika kupima mazao ya wakulima ili kuondoa udanganyifu na kumlinda mkulima.  Mrajis ametoa maelekezo hayo kupitia barua ya tarehe 13 Machi, 2026 aliyowaandikia Wenyeviti na Wajumbe wa Bodi wa Vyama vya Ushirika vya mazao Tanzania Bara…

Read More

IHI yatafiti kipimo cha ulimi kubaini kifua kikuu

Dar es Salaam. Utafiti mpya wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) umeibua matumaini ya kurahisisha utambuzi wa vimelea vya kifua kikuu kwa kutumia mbinu mbadala ya usufi wa ulimi badala ya makohozi. Njia hiyo mbadala ya kugundua TB, ambayo inaweza kuwa nyepesi, haraka na rahisi kwa wagonjwa, imebainishwa leo Jumanne, Machi 24, 2026 wakati dunia…

Read More