ERB TOENI MOTISHA KWA WAHANDISI: DKT. BITEKO

 :::::::: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kuongeza bidii katika kuwapa motisha wahandisi wanaofanya kazi vizuri kwa kuwatambua na kuwapa tuzo ili kuwatia moyo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao. Ameeleza hayo Septemba 25, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akifungua maadhimisho ya 22…

Read More

BIASHARA YA KABONI YAFUNGUA NEEMA MPYA LINDI

Na Mwandishi Wetu, Lindi Fursa ya biashara ya kaboni imeelezwa kuwa mkombozi mpya wa uchumi wa misitu nchini, huku Serikali ikihimiza wananchi na wadau kuchangamkia rasilimali hiyo kwa manufaa ya kiuchumi na uhifadhi wa mazingira. Hayo yamebainishwa Machi 18, 2026 katika Uwanja wa Ilulu, Manispaa ya Lindi, wakati wa Jukwaa la Majadiliano ya Biashara kwa…

Read More

DAWASA yadhibiti mivujo ya maji Bagamoyo

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kupitia Mkoa wa Kihuduma Chalinze imedhibiti mivujo ya maji katika maeo ya Kiwangwa, Mwavi na Mwetemo wilayani Bagamoyo. Akizungumzia kazi hiyo, Kaimu Meneja wa Mkoa wa Kihuduma Chalinze, Mhandisi Hafidhi Mketo amesema udhibiti huo umefanyika katika mabomba ya nchi 3′, 2′ na moja 1…

Read More

Msifanye ndoa zenu kuwa maabara

Canada. Neno maabara si geni masikioni mwa wengi. Ni mahali pa majaribio, pa kupima nadharia, kutengeneza nyenzo na kuthibitisha uhalali wa jambo kabla halijapelekwa kwenye matumizi halisi. Mara nyingi, maabara huanzishwa kwa lengo maalumu; zikishatimiza kusudi au zikishindwa kufikia malengo, hufungwa. Ni katika taasisi za kisayansi pekee ambapo maabara huendelea kuwapo kwa sababu ya asili…

Read More

Wito wa Türk Sudan Kusini wa kusitisha mapigano, mgomo wa Ukraine, tahadhari ya chakula Gaza, waliorejea Afghanistan – Masuala ya Ulimwenguni

Katika rufaa ya kusitisha mapigano mara moja, alisema kuwa katika muda wa siku 17 zilizopita, zaidi ya raia 160 wameuawa. Hii inajumuisha angalau 139 mnamo Machi 1 na wapiganaji kutoka kabila la Bul Nuer katika eneo la utawala la Ruweng kaskazini. Raia ‘walirubuni’ hadi vifo vyao Mnamo tarehe 21 Februari, Kamishna Mkuu alidai kwamba vikosi…

Read More

Aungana na familia miaka 17 tangu alipotoweka

Miaka 17 iliyopita, Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Nakuru, nchini Kenya imekuwa zaidi ya kituo cha matibabu kwa Mtanzania, Selina Paul. Imekuwa ndiyo makazi pekee aliyoyajua kwa takribani miongo miwili. Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la Daily Nation, Selina alilazwa hospitalini hapo Machi, 2008 baada ya kugunduliwa kuwa na ugonjwa wa schizophrenia (ugonjwa…

Read More

Kina Mayele wamtibulia aliyeikacha Yanga

USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata Pyramids dhidi ya Al Ahly, umetibua mambo katika klabu hiyo mabingwa wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa moto unawaka huku anayesakwa ni aliyeikataa Yanga. Ni hivi. Kocha wa Al Ahly, Jose Riveiro amekalia kuti kavu ligi kuu ya Misri, akihesabu siku baada ya kuanza vibaya akiwa na…

Read More