Mahakama yazuia Trump kumfukuza kazi Gavana wa Benki Kuu
Washington. Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Shirikisho, Jia Cobb, amezuia kwa muda utekelezaji wa uamuzi wa Rais Trump wa kumfukuza kazi Gavana wa Benki Kuu, Lisa Cook. Cook, ambaye ni mjumbe wa bodi inayowajibika kuweka viwango vya riba nchini Marekani, alifukuzwa kazi na Trump kwa madai kwamba alitoa taarifa za uongo katika maombi ya…