Bado Watatu – 5 | Mwanaspoti

“SI nimekwambia nina mazungumzo na wewe!” “Kumbe Fadhil hunijui. Nilikuheshimu pale ulipokuwa unaniheshimu. Kama unathubutu kuvunja heshima yangu mbele ya kirukanjia wako yule, nitakuvunjia heshima halafu utaniona mbaya. Mimi sitaki kufuatwa na wewe tena na sihitaji mazungumzo yako.” Bahati njema hapakuwa na watu karibu. Kama wangekuwepo ningekuwa nimeumbuka kutokana na maneno makali niliyokuwa nikiambiwa. Ilikuwa…

Read More

Shilingi yapanda, wanaonufaika ni hawa

Dar es Salaam. Watanzania wanaopanga kuagiza magari, vipuri, ngano, mafuta ya kula na bidhaa nyingine kutoka nje ya nchi wanatarajiwa kunufaika na kupanda kwa thamani ya shilingi, hali itakayopunguza gharama za uagizaji wa bidhaa mbalimbali. Sarafu ya ndani imepata nguvu kubwa dhidi ya Dola ya Marekani katika miezi ya hivi karibuni. Aprili 2025, ilibadilishwa kwa…

Read More

Majaliwa aacha maagizo sita kuboresha elimu ya watu wazima

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa maagizo sita kwa Wizara ya Elimu na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) yanayolenga kuongeza ufikiaji wa watu wazima wanaohitaji kusoma na kujiendeleza zaidi. Majaliwa ametoa maagizo haya wakati ambao zaidi ya wasichana 13,000 waliokuwa wamekatisha masomo kwa sababu mbalimbali wamefanikiwa kurudi shuleni kupitia…

Read More

Polisi wanne wa Intelijensia Moshi kortini wakidaiwa kutumia silaha kuiba bodaboda

Dar es Salaam. Askari wanne wa Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Moshi, mkoani Kilimanjaro, wakikabiliwa na shtaka la wizi wa pikipiki ya abiria maarufu bodaboda kwa kutumia silaha. ‎Maofisa hao wa Polisi, wanatuhumiwa kuiba pikipiki hiyo mali ya Ramadhani Singe katika kambi ya Polisi….

Read More

Bado Watatu – 4 | Mwanaspoti

KADHALIKA katika chupa hizo pia kutakuwa na alama zao za vidole kwa vile kila mmoja alikuwa akishika chupa na kujimiminia. Baada ya kuwaza hivyo niliinuka nikaenda pale kando ya meza na kuzitazama zile bilauri bila kuzigusa. Nikahisi kwamba alama zao zilikuwepo. Nikatoa kitambaa kutoka mfukoni mwangu na kumwambia mwenyeji wangu anipatie mfuko ili nitie zile…

Read More

CHAN 2024: Appiah anavyowapa tabasamu Wasudani

KOCHA wa timu ya taifa la Sudan, James Kwesi Appiah ambaye kesho, Jumanne ataongoza kikosi hicho kucheza mechi ya nusu fainali ya mashindano ya CHAN dhidi ya Madagascar, ameweka historia kwenye ramani ya soka la Afrika. Wakati nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mamilioni kukimbia makazi yao, Appiah ameibadilisha Sudan…

Read More

SMZ yapokea gawio la Sh10 bilioni kutoka PBZ

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepokea gawio la Sh10 bilioni kutoka Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2024. Kutokana na kazi zilifanywa na benki hiyo kwa mwaka huo, imefanikiwa kutengeneza faida ya Sh107 bilioni ambapo gawio lililotolewa litaingizwa moja kwa moja katika mfuko wa Serikali….

Read More