Ndugai ajigamba na ‘cleen sheet’ aliyopiga 2020, ajipanga tena
Kongwa. Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 wanausubiri kwa shauku kubwa huku akijigamba kupata ushindi wa ‘cleen sheet’ kila chaguzi zinapofanyika ni sababu ya eneo hilo kuwa kitovu na ngome ya demokrasia kwa CCM mkoani humo. Ndugai ambaye ni Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, amejenga hoja hiyo kwa…