
CHAN 2024: Appiah anavyowapa tabasamu Wasudani
KOCHA wa timu ya taifa la Sudan, James Kwesi Appiah ambaye kesho, Jumanne ataongoza kikosi hicho kucheza mechi ya nusu fainali ya mashindano ya CHAN dhidi ya Madagascar, ameweka historia kwenye ramani ya soka la Afrika. Wakati nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyosababisha mamilioni kukimbia makazi yao, Appiah ameibadilisha Sudan…