Dakika 62 tamu za Mbosso ‘Simba Day’

KAMA kuna mashabiki waliinjoi leo kwa Mkapa basi ni kushuhudia shoo ya Mwimbaji wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuph Kirungi maarufu kama Mbosso. Kama kuna tuzo zingetolewa za ‘man of the show’ msanii huyo alikuwa anaondoka nayo kutokana na namna alivyoingia hadi anamaliza kuburudisha mashabiki waliokuwa wanainjoi burudani kutoka kwa mkali huyo wa wimbo wa Pawa….

Read More

Waislamu nchini watakiwa kulinda amani, kuepuka matamanio

Dodoma. Waislamu nchini wametakiwa kudumisha amani na utulivu huku wakisisitizwa kujiepusha na tabia ya kuchanganya masuala ya dini na matamanio yao binafsi. Wito huo umetolewa leo Jumamosi, Machi 21, 2026 na Sheikh Omar Itara wakati akitoa mawaidha katika Swala ya Idd El-Fitri iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Akizungumza mbele ya waumini, Shekhe Itara…

Read More

KASULU YAANDAA BONANZA LA MICHEZO KUHAMASISHA UCHAGUZI NA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu, amesema wananchi wanapaswa kujitokeza kwa wingi kushiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru pamoja na Uchaguzi Mkuu ujao, kwani matukio hayo ni ya kitaifa na yanabeba taswira ya mshikamano wa Watanzania. Baadhi ya viongozi na wananchi waliojitokeza kwenye bonanza hilo Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma,…

Read More

Bei za mafuta juu, dizeli ikiongezeka bei mara mbili

Dar es Salaam. Watimiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei mara mbili zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta…

Read More

Vita vya Mashariki ya Kati vinahatarisha kusukuma watu milioni 45 zaidi kwenye njaa kali – Masuala ya Ulimwenguni

“Zaidi ya kuanguka mara moja nchini Lebanon, mzozo huo pia umesababisha athari kubwa kwenye operesheni za kibinadamu za kimataifa; kwa kweli tunasikia uchungu juu ya hili,” WFP Naibu Mkurugenzi Mtendaji Carl Skau aliwaambia waandishi wa habari mjini Geneva. “Minyororo yetu ya usambazaji inaweza kuwa kwenye ukingo wa usumbufu mkubwa zaidi tangu COVID na vita vya…

Read More

Umbali mrefu shuleni unavyoyumbisha wanafunzi kitaaluma -2

Bagamoyo. Wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shule ni moja ya changamoto zinazoripotiwa mara kwa mara nchini. Sababu kuu ni mchanganyiko wa sababu za kijografia, hamahama ya baadhi ya jamii, uchaguzi wa shule zenye matokeo mazuri bila kuzingatia umbali, na baadhi ya shule kuwa mbali na makazi ya watoto. Vilevile, uchumi wa familia, kutokuwepo…

Read More