NYALANDU KIELELEZO CHA MFANO WA KUIGWA UCHAGUZI 2025/2030
…………….. MBUNGE wa Zamani wa Jimbo la Ilongero Lazaro Nyalandu ameonesha dhamira ya kweli ya kumtafutia kura mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu Hassan kwa hatua yake ya kupita Kijiji kwa Kijiji kumuombea kura. Hatua hiyo kwa mujibu wa wadadisi mbalimbali wa masuala ya Kisiasa, anafaa kuwa mfano wa kuigwa…