Mwanahabari mwingine afariki dunia Dodoma
Dodoma. Tasnia ya habari mkoani Dodoma imepata pigo lingine katika kipindi kifupi kufuatia kifo cha mwanahabari, Kadala Komba ambaye amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Komba amefariki dunia ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kifo cha Sharon Sauwa, mwanahabari mwandamizi aliyekuwa anatumikia vyombo vya Kampuni ya…