Majaliwa Asema CCM Imejipanga Kuendelea Kuleta Maendeleo – Global Publishers
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimejipanga kuendelea kuleta maendeleo katika sekta zote nchini. Amesema kuwa Chama hicho mara zote kimekuwa kikigusa maendeleo kwa watanzania katika sekta zote hivyo kukichagua katika uchaguzi wa mwezi Oktoba 2025 ni uamuzi wa kuchagua maendeleo….