Wadau washauri meza ya mazungumzo Polisi, Chadema
Dar es Salaam. Wadau wa demokrasia nchini wamezitaka pande mbili zinazokinzana, yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Jeshi la Polisi, kuketi meza moja ili kumaliza tofauti kwa mazungumzo. Chama hicho kimesema kinataka kufanya maandamano hayo, ili kuishinikiza Serikali kuhakikisha wanachama wake waliopotea wanarejeshwa, wakiwa hai au wafu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi kupitia…