
Majogoro aibuka mazoezi ya KMC, uongozi wafunguka
MUDA mfupi baada ya Mwanaspoti kuripoti kuwa aliyekuwa kiungo mkabaji wa Chippa United ya Afrika ya Kusini, Baraka Majogoro kuhitajiwa na KMC nyota huyo ameibukia mazoezi ya timu hiyo. Majogoro kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba na Chippa na tayari baadhi ya timu zimeonyesha nia ya kumhitaji ikiwemo KMC. Timu hiyo ikiwa…