TRA, CEOrt wajifungia kujadili uboreshaji wa ulipaji wa kodi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kushirikiana kwa karibu na Jukwaa la Watendaji Wakuu (CEO Roundtable of Tanzania – CEOrt) katika kuimarisha majadiliano yenye lengo la kuboresha mazingira ya biashara na kurahisisha utekelezaji wa sheria za kodi kupitia sekta binafsi, ili kuongeza mapato kwa maendeleo ya taifa. Kauli hiyo imetolewa leo,…

Read More

‘Msukosuko wa kikanda unaendelea kumaliza matarajio ya amani,’ Baraza la Usalama linasikia – maswala ya ulimwengu

Yemen anaendelea kuwa moja wapo ya nchi ambazo hazina usalama ulimwenguni kufuatia zaidi ya miaka 12 ya vita kati ya umoja unaoungwa mkono na Saudia unaounga mkono serikali inayotambuliwa kimataifa na Ansar Allah-kwani waasi wanajulikana rasmi-na milioni 17 zina njaa, kulingana na Ofisi ya Uratibu wa UN, Ocha. Licha ya kukomesha dhaifu lakini kwa muda…

Read More

Kigoma yabeba ndoo ya Ujirani

Timu ya Kigoma imeifunga  Foundation Pax kwa pointi 89-82, katika mchezo wa kirafiki wa ujirani mwema,  uliofanyika  kwenye Uwanja wa Lake Side,  mkoani humo. Akiongea na Mwanaspoti kwa simu kutoka Kigoma, Katibu mkuu wa chama cha mpira wa kikapu mkoani humo, Kibonajoro Anasi alisema mchezo huo ulikuwa ni wa pili kufanyika tangu mara ya kwanza…

Read More

SIMIYU WAUNGA MKONO AZIMIO LA CCM, RC ASEMA WANAOTAKA URAIS NDANI YA CHAMA JAMBO LIMEKWISHA

Na Mwandishi Wetu,Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi ameshiriki katika matembezi ya kuunga mkono azimio la Chama cha Mapinduzi (CCM) ambalo limemteua Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu. Akizungumza mara baada ya matembezi hayo yaliyofanyika Mjini Bariadi Kihongosi amesema wao…

Read More

Zaidi ya Ubashiri, Ni Burudani, Ushindi na Teknolojia Mpya – Global Publishers

Bingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, ameleta promosheni kabambe inayowapa wachezaji wake nafasi ya kipekee ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Promosheni hii, ambayo imeanza rasmi tarehe 1 Septemba 2025 na itaendelea hadi 30 Septemba 2025, inalenga kuongeza msisimko kwa wachezaji kwa kuwapa zawadi…

Read More

Majaji na maafisa wa ICC, chini ya vikwazo vya Amerika, wanaishi chini ya kutengwa ngumu – maswala ya ulimwengu

Korti ya Jinai ya Kimataifa. Mikopo: Picha ya UN/Rick Bajornas na Thalif Deen (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Novemba 27, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Novemba 27 (IPS) – Vikwazo vya Amerika katika Korti ya Jinai ya Kimataifa (ICC) vimeongeza kutengwa kwa majaji na maafisa wa Mahakama iliyoko Hague, Uholanzi.Katika kwa mahojiano…

Read More

Mbwembwe za Rais wa Bukina Faso kuwa kivutio Tanzania

Dar es Salaam. Rais wa mpito wa Bukina Faso, Kapteni Ibrahim Traore ambaye amekuwa kivutio kwa utaratibu wake wa kuvaa kombati za jeshi pamoja na kutembea na bastola kiunoni tofauti na marais wengine, ni miongoni mwa marais 25, watakaohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu nishati Afrika. Kapteni Traore mwenye umri mdogo wa miaka 34 kuliko marais…

Read More

Jeshi la Polisi lakanusha taarifa ya Polisi

Dar es Salaam. Sakata la kuzuiwa mikutano ya hadhara na ile ya ndani ya vyama vya siasa limechukua sura mpya, baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kukanusha zuio la Polisi Wilaya ya Mbagala, Mkoa wa Dar es Salaam. Kanusho hilo la Polisi Makao Makuu linatokana na taarifa ya Polisi Mbagala kwenda kwa chama cha ACT-Wazalendo…

Read More