Mamia ya wakulima Muheza wanufaika na miche 75,000

Tanga. Zaidi ya miche 75,000 ya miti ya uhifadhi na mazao ya biashara imegawiwa na kupandwa katika vijiji vya Shembekeza na Kwemwewe, wilayani Muheza, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulinda vyanzo vya maji vya Milima ya Amani na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji katika Jiji la Tanga na wilaya za Muheza, Mkinga, Pangani na…

Read More

WANAFUNZI WA MADRASA ,WAALIMU KUTOKA KONDOA WATHIBITISHA KWA MUNGU HAKUNA KUBWA NGORONGORO

Mwenyezi Mungu akitaka jambo litokee  hutokea ndivyo ilivyotokea, uumbwaji wa Kasoko ya Ngorongoro zaidi ya miaka milioni 2.5 iliyopita ambapo mlima mrefu uligeuzwa kuwa bonde la Ngorongoro. Wanafunzi wa madrasa kutoka jimbo la Kondoa mkoani Dodoma pamoja na walimu wao wameshuhudia uwezo huo wa Mwenyezi Mungu walipotembelea hifadhi ya Ngorongoro katika ziara iliyoandaliwa na mbunge…

Read More

Maboresho mfumo kodi na maendeleo tuyatakayo

………… Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga  Juhudi za kujiletea maendeleo zinategemea sana ufanisi wa ukusanyaji kodi kutoka kwa wananchi. Wizara, taasisi na vitengo mbalimbali wanaweza wakakaa chini kupanga, kujadili na kuja na mipango mingi mizuri ya maendeleo lakini itakapofika kipengele cha namna ya kutekeleza mipango hiyo, maeneo mengi yatahitaji fedha ili kufanikisha. Kimsingi, kodi ni…

Read More