
Jaruph mwendo mdundo Morocco | Mwanaspoti
MTANZANIA anayecheza soka la ufukweni Morocco, Jaruph Juma, mambo yamezidi kumnyookea baada ya chama lake la Ain Diab iliyopo Ligi Kuu ya Ufukweni, kushinda kwa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2 dhidi ya Sbou Knetra. Jaruph aliliambia Mwanaspoti licha ya mechi hiyo kuwa ya kawaida ya ligi, lakini namna ushindani…