TBS YAENDELEZA MAFUNZO YA KANUNI ZA UONGEZAJI VIRUTUBISHO KWENYE CHAKULA
::::::: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo kuhusu ubora, viwango na kanuni za uongezaji virutubishi kwenye mazao ya chakula ikiwemo mahindi, ngano, chumvi na mafuta yaliyosafishwa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kanuni ya mwaka 2024,Mafunzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam yakilenga kuwajengea uwezo wazalishaji, wasambazaji na wauzaji ili kuhakikisha bidhaa…