Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Nyerere: Afya Club Yaendesha Usafi na Upimaji Bure Songea
Katika kuelekea kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Afya Club imeanza shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo maandamano, usafi wa mazingira na upimaji wa afya bure kwa wananchi wa Manispaa ya Songea. Shughuli hizo zimeanza leo Oktoba 13 kwa maandamano kutoka ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Songea hadi Hospitali…