
Majogoro aziingiza vitani KMC, Namungo
BAADA ya kiungo mkabaji, Baraka Majogoro kuachana na Chippa United ya Afrika ya Kusini, mabosi wa Namungo na KMC aliyowahi kuichezea zimeonyesha nia ya kumhitaji, huku ikielezwa miamba hiyo inachuana kwa ajili ya kuipata saini yake. Taarifa ambazo Mwanaspoti ilizozipata, zinaeleza KMC na Namungo zote kwa pamoja zimeonyesha nia ya kumhitaji na jambo kubwa linaloendelea…