Chaumma yaahidi kuvalia njuga migogoro ya wakulima na wafugaji

Morogoro. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja ameahidi kuwa iwapo chama hicho kitaaminiwa kuunda Serikali, ndani ya siku 100 za kwanza, kitachukua hatua dhidi ya wale aliowaita mapapa wa ardhi waliomilikishwa maeneo makubwa na kusababisha migogoro kwa wananchi. Akihutubia wananchi wa Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro leo Jumatano…

Read More

Simba na rekodi ya ajabu Cecafa Kagame Cup

LICHA ya kutoshiriki fainali za Cecafa Kagame 2025, Simba inashikilia rekodi mbili kwa wakati mmoja ikiwa ni timu iliyotwaa mataji mengi zaidi na ndiyo iliyopoteza mechi nyingi zaidi za fainali katika mashindano hayo. Wekundu hao wa Msimbazi wametwaa taji mara sita miaka ya 1974, 1991, 1992, 1995, 1996 na 2002 na kuwafanya kuwa timu yenye…

Read More

Ukraine yakubaliana na mpango wa Marekani wa kusitisha mchezo

ya pamoja baada ya mazungumzo imesema, “Ukraine imeeleza iko tayari kukubali pendekezo la kutekeleza kutekeleza mara moja sitisho la taarifa kwa siku 30, ambalo itabidi likubaliwe na pande zote, ambalo pia lazima litekelezwe na Russia. Imeomba kwamba Marekani itaondoa mara moja hatua ya kusitisha taarifa kijasusi na kuanza kutoa misaada ya kiusalama kwa Ukraine. Waziri…

Read More

Wadau wataka mabadiliko ya sheria wanaojaribu kujiua

Dodoma. Wakati wataalamu wa afya ya akili na wanasheria wakishauri kufanyika marekebisho ya sheria ili wanaojaribu kujiua wapewa tiba  saikolojia, badala ya kukabiliwa na mashtaka, baadhi ya waliofikwa na kadhia hiyo wameeleza wanayopitia. Kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu mtu yeyote anayejaribu kujiua ana hatia ya kosa. Akizungumza Septemba 10, 2025 wakati wa…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More

Aliyekuwa DED Simanjiro afariki dunia

Simanjiro. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Samwel Gunzah ambaye ni mfungwa amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, mkoani Dodoma. Gunzah alihukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kosa la rushwa na kutumia madaraka yake vibaya Septemba 18, 2025. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa mitandaoni hususan mkoani…

Read More