Kuongezeka kwa ukosefu wa usalama katika Mashariki inazuia maendeleo ya kidiplomasia, Baraza la Usalama linasikia – maswala ya ulimwengu

Licha ya maendeleo ya kidiplomasia katika miezi ya hivi karibuni, na Merika ikifanya makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda, na Qatar kuwezesha tamko la kanuni kati ya serikali ya Kongo na waasi wa M23, mvutano unabaki juu katika DRC ya Mashariki – ambapo vikundi vingi vya silaha vinafanya kazi. Baraza la Usalama pia…

Read More

CCM yamteua Kirumbe Naibu Katibu Mkuu Wazazi

Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Mjini aliyemaliza muda wake, Kirumbe Ng’enda ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara. Ng’enda anaukwaa wadhifa huo, akimrithi Mirumbe Chacha kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa chama hicho. Taarifa ya uteuzi wa Ng’enda inakuja siku moja baada ya jina lake…

Read More

Chaumma yateua wagombea ubunge, yakacha urais Z’bar

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa hakitasimamisha mgombea wa urais visiwani Zanzibar, huku kikiweka hadharani awamu ya kwanza ya orodha ya makada wake 119 walioteuliwa kugombea ubunge wa majimbo Tanzania Bara. Uamuzi wa Chaumma kutosimamisha mgombea Zanzibar unakuja katikati ya maswali mengi ya wadau wa siasa, waliohoji ni nani atakayepewa…

Read More

Mchinjita achukua fomu Lindi Mjini, ataka hadhi ya Bunge

Lindi. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha  ACT Wazalendo ( Bara), Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kuwania ubunge Lindi Mjini, akiainisha vipaumbele vyake atakavyovitekeleza endapo ataibuka kidedea. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuhakikisha anapambania kurejesha Bunge lenye hadhi ikiwamo kuhakikisha mijadala yote muhimu inayogusa Watanzania na Taifa inajadiliwa katika mhimili huo, na sio kwenye mitandao ya…

Read More

Momentum huunda kuelekea makubaliano ya bioanuwai ya baharini, kama wataalam wanavyokutana huko New York – Masuala ya Ulimwenguni

Iliyopewa jina la Makubaliano chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Sheria ya Bahari juu ya Uhifadhi na Matumizi Endelevu ya Tofauti za Baiolojia ya Majini Zaidi ya Mamlaka ya Kitaifailikuwa kupitishwa Mnamo Juni 2023 baada ya miaka ya mazungumzo, na iko wazi kwa saini hadi Septemba 20. Na maridhiano nane tu yaliyobaki…

Read More

Panga la CCM lafyeka nusu ya wabunge

Dar es Salaam. Zaidi ya nusu ya wabunge waliomaliza muda wao katika majimbo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), hawatakuwa sehemu ya Bunge lijalo, baada ya kukwama katika michakato ya ndani ya uteuzi wa chama hicho. Katika michakato hiyo ya uteuzi, iliyofanywa na Kamati Kuu (CC) na hatimaye Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), wabunge 133,…

Read More

CCM ilivyopanga upya wawakilishi Zanzibar

Unguja.Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikihitimisha mchakato wake wa ndani wa kuwapata wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka huu, ni majimbo mawili pekee ambapo wateule walishinda katika kura za maoni, lakini majina yao hayakuteuliwa Zanzibar. Badala yake, majina ya waliokuwa wameshika nafasi ya pili katika mchakato huo ndiyo yameteuliwa kupeperusha bendera…

Read More

Makamba: Uwezo wa Migiro fursa kwa CCM

Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba amesema sifa na uwezo wa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Dk Asha Rose Migiro zitakiwezesha chama kuendesha shughuli za kila siku. Jana Jumamosi Agosti 23,2025 wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM walimthibitisha Dk Migiro kuwa katibu mkuu wa chama…

Read More