Ukraine yaishambulia Russia kwa makombora Storm Shadow, ATACMS
Kyiv. Jeshi la Ukraine limefanya mashambulizi mazito usiku wa kuamkia leo nchini Russia, kwa kutumia droni zaidi ya 100 na makombora yaliyotengenezwa nchini Uingereza ya Storm Shadow na ATACMS ya Marekani. Kwa mujibu wa tovuti ya Russia Today, mashambulizi hayo ya kushtukiza yamefanyika tangu Russia itangaze kuanza operesheni zake nchini Ukraine usiku wa kuamkia leo…