Maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya maandamano ya mazishi ya aliyekuwa rais wa Iran Ebrahim Raisi
Makumi kwa maelfu ya Wairani walimiminika katika mitaa ya Tehran Jumatano ili kujiunga na maandamano kwaajili ya mazishi ya rais Ebrahim Raisi na wasaidizi wake, waliofariki katika ajali ya helikopta siku ya Jumapili. Katikati ya mji huo, watu waliokuwa na picha za Raisi walikusanyika ndani na karibu na Chuo Kikuu cha Tehran, ambapo Kiongozi Mkuu…