
Polisi waanza operesheni kudhibiti magendo, uvuvi haramu Ziwa Nyasa
Mbeya. Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wameanza rasmi operesheni maalumu ya kukabiliana na kudhibiti bidhaa za magendo, uvuvi haramu kwa kutumia boti katika Ziwa Nyasa Wilaya ya Kyela. Hatua hiyo imekuja ikiwa imepita siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa kumkabidhi boti Kamanda wa…