MWANDISHI WA HABARI AMTABIRIA MAKUBWA DKT SAMIA

Na Rashid Mtagaluka Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na kijamii nchini, Saleh Mohamed, amesema Tanzania ipo katika njia sahihi ya maendeleo na kwamba miaka mitano ijayo nchi itakuwa imepiga hatua kubwa zaidi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza Septemba 4, 2025 kupitia mahojiano na Radio Free Afrika jijini…

Read More

Kaya zapiga hatua matumizi vyoo bora Ileje

Songwe. Kaya zenye vyoo bora wilayani Ileje Mkoani Songwe zimefikia asilimia 54 sawa na kaya 9,950 huku asilimia 0.2 sawa na kaya 234, hazina vyoo kabisa huku wananchi wakihimizwa kutumia vyoo vya kisasa kwa usalama wa afya zao. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Februari 26, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi wakati wa…

Read More

TBS kudhibiti wauza vipodozi, bidhaa mtandaoni

Dar es Salaam. Wakati wimbi la wafanyabiashara mtandaoni wakiwamo wa vipodozi likizidi kuongezeka, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema linaendekea na maboresho ili kuangalia namna gani wanaweza kuzidhibiti ubora wa bidhaa mtandaoni. Hilo limesemwa wakati ambao mitandaoni kumeibuka wimbi la wafanyabiashara hasa wa vipodozi ambao wamekuwa wakiandaa bidhaa kwa kuchanganya vitu mbalimbali na kuuza kwa…

Read More

Kauli ya Dk Nchimbi imegusa changamoto za kisiasa Tanzania

Kauli ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi ya kwamba; “mambo ya kugombana kivyama siyapendi, naona ni ujinga tu,” imeibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa siasa nchini na wajibu wa viongozi katika kulinda umoja wa kitaifa. Kauli hiyo aliitoa wakati wa salamu za rambirambi kwenye mazishi ya Polycarp Kardinali…

Read More