
Mavunde ataka viongozi waombewe | Mwananchi
Dodoma. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Uchaguzi mkuu wa kuwapata Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Mavunde ametoa kauli hiyo leo Jumapili Agosti 24, 2025 jijini Dodoma kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Petro (St….