Uzimaji Intaneti ni ukiukwaji wa haki za binadamu
WANAHARAKATI vijana nchini Tanzania wamesema kitendo cha Serikali kuzima intaneti wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020, kimekiuka mikataba ya kimataifa pamoja na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar ea Salaam, Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki Binadamu na Utawala wa…