Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
Habari

CCM Simiyu yakemea wajawazito kudaiwa fedha huduma za afya

April 28, 2024 Admin

Na Samwel Mwanga, Itilima MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amehaidi kulivalia njuga suala la baadhi ya wahudumu wa Afya katika

Read More
Habari

NCAA kutetea nafasi yake tuzo ya kivutio bora cha utalii Afrika

April 28, 2024 Admin

Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imezindua kampeni yake ya kuipigia kura mamlaka hiyo kutetea nafasi yake ya kuwa kivutio bora cha utalii barani

Read More
Habari

DKT BITEKO KUFUNGUA MKUTANO WA 13 WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA.

April 28, 2024 Admin

  Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati  Dkt Dotto Biteko anatarijiwa kuwa Mgeni  Rasmi katika Mkutano wa 13 wa

Read More
Michezo

Mgunda azungumzia ishu ya kumrithi Benchikha

April 28, 2024 Admin

WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye

Read More
Habari

Profesa Mkenda awakingia kifua wanaume Rombo kwa ulevi

April 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mwaka 2015 iliripotiwa wanawake wilayani Rombo kulalamika kwenda nchi jirani ya Kenya kukodi wanaume kupata unyumba, baada ya waume wao kuishiwa nguvu

Read More
Habari

DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

April 28, 2024 Admin

*📌Aipongeza OSHA kuboresha utendaji* *📌Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini* *📌Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabia nchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa

Read More
Michezo

Thank You! Ndoa ya Benchikha na Simba yatamatika

April 28, 2024 Admin

KLABU ya Simba muda wowote kuanzia sasa itatangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae

Read More
Habari

Sababu chanjo ya HPV kupewa wasichana wadogo

April 28, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema hadi kufikia jana, Aprili 27 wasichana zaidi ya milioni 4 wenye umri wa miaka 9 hadi 14 wamechanjwa

Read More
Habari

NGORONGORO YAZINDUA ZOEZI LA UPIGAJI KURA KUWANIA TUZO YA KIVUTIO BORA CHA UTALII BARANI AFRIKA.

April 28, 2024 Admin

 Na Mwandishi wetu, Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imezindua zoezi  la upigaji kura kuwania tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa

Read More
Michezo

Simba yaifuata Namungo bila Benchikha

April 28, 2024 Admin

KIKOSI cha Simba kimewasili kutoka Zanzibar ambako kimetwaa taji la sita la Muungano na kuunganisha moja kwa moja kuifuata Namungo tayari kwa mchezo wa ligi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,652 3,653 3,654 … 3,724 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.