Moshi. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaja hali ngumu ya kiuchumi miongoni mwa mambo manne ambayo kimesema bado ni changamoto kwa Watanzania. Pamoja na hilo, ambalo

Dar/mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali, zimeendelea kuleta madhara ikiwemo kusababisha vifo vya watu wanne wa familia moja na kukata mawasiliano ya upande mmoja

Na Mwandishi Wetu, Arusha WANANCHI wa Jiji la Arusha wakiwemo Baba na Mama Lishe wameishukuru Kampuni ya Oryx Gas kwa hatua inazochukua za kuhakikisha kundi

Dar es Salaam. Aliyewahi kuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface, maarufu Boni Yai pamoja na Mwanaharakati, Godlisen Malisa wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi,

Arusha. Katika kuelimisha wananchi na washiriki wa maonyesho ya usalama na afya mahali pa kazi Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeleta vifaa mbalimbali

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye

Na Mwandihi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama ametoa shime kwa Baraza

Dar es Salaam. Kufuatia kilio cha utiriri wa tozo kwa shule binafsi nchini, Serikali imeagiza wizara tano kukutana na Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi

Bariadi. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed ya kumtaka Mbunge wa Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani humo, Luhaga Mpina kuacha siasa

Morogoro. Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika