SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja

Njombe. Wakazi wa mitaa ya Igangidung’u na Maguvani Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Njombe, wameiangukia Serikali ikamilishe ujenzi wa daraja lililoanza kujengwa tangu

Wanadiplomasia wakuu wa nchi za Kiarabu na Ulaya wanatarajiwa kuanza kuwasili katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, mwishoni mwa wiki hii kushiriki mkutano wa

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiomboleza vifo vya watu 162 vilivyotokana na janga la mafuriko linalosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, janga hilo ni sehemu

ACHANA na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz

Siha. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri maeneo mengi nchini, Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema wanapanga namna nzuri

Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati wa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Kati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya

Arusha: Kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji FC, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa

Na Aisha Malima-Morogoro Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro

Kilimanjaro. Esther Frederick Sumaye ambaye ni mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka kidedea katika kesi ardhi ya kugombea shamba namba 25 lililopo Madale