Uganda nayo yazifuata Kenya, Tanzania

TIMU ya Taifa ya Uganda maarufu ‘The Cranes’, imetupwa nje katika michuano CHAN 2024, baada ya kuchapwa bao 1-0 na bingwa mtetezi Senegal kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Uganda, leo Agosti 23, 2025. Katika mechi hiyo ya hatua ya robo fainali, Senegal ilipata bao hilo dakika ya 62 kupitia kwa Oumar Ba aliyepokea pasi ya…

Read More

Othman aahidi kurejesha ardhi Iliyopokwa wananchi

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT – Wazalendo, Othman Masoud Othman ameahidi kuirejesha ardhi yote iliyokwapuliwa kwa wananchi wa Wazanziba kinyume cha utaratibu. Amesisitiza kuirejesha ardhi hiyo akilenga itumike katika masuala mbalimbali yakiwemo ya maendeleo, akisema tangu ashike wadhifa wa Umakamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, amekuwa akipokea malalamiko…

Read More

Hakuna ‘Mungu kama wewe’ yapigwa kwa Mkapa

TAYARI kumeanza kuchangamka katika Uuwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam ambako Simba ina jambo lake leo kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day ikiwa ni sehemu ya kusheherekea miaka 89 ya klabu hiyo. Achana na mechi za awali ambazo zimechezwa, burudani zimeanza kuchukua nafasi yake hasa kuanzia saa 10:00 jioni. Ilianza kupigwa ngoma moja…

Read More

Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup

TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha jumla ya timu 20, huku Serikali ikiahidi kuwekeza zaidi michezoni. Klabu nyingine zinazoshiriki michuano hiyo kwa msimu huu ni; KISC FC, Ujamaa, Urusi, Misyuu, Aston…

Read More