Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaandaa mfumo wa kielektroniki wa kutoa ankara ya pamoja kwa huduma zinazolandana ili kuondoa usumbufu kwa wananchi

HISTORIA ya maisha ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Matheo Antony itakufunza kutoyakatia tamaa maisha, kwani wakati anasajiliwa Yanga msimu wa 2015/16 alikuwa anapiga mishe za

Naibu Katibu Mkuu wa Usimamizi wa Uchumi, Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwamdumbya na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Masuala ya Kodi Kimataifa wa Wizara ya

Polisi nchini Marekani wamewakamata makumi ya waandamanaji katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin (UT Austin) na Chuo Kikuu cha Kusini mwa California (USC) huku

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha mazingira ya maladhi kwa wanafunzi

Serikali imeunda kikosi cha dharura kushughulikia janga hilo.Wakati huohuo, idara ya polisi imeendelea na juhudi za uokozi kwa ambao nyumba zao zimefunikwa na maji. Kulingana

Mbeya. Wakati Serikali ikiendelea kuratibu makazi ya waathiriwa wa maporomoko ya tope linalotoka Mlima Kawetere jijini hapa, waathiriwa hao wameondoka kwenye kambi ya muda katika

ZANZIBAR MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umeshiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 38 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT) uliofanyika

Garfield (Gary) Sobers. Moja ya majina makubwa sana katika Kisiwa cha Barbados ikiwa ni zaidi ya miaka 40 anaimbwa na kila mtu. Ameitangaza vyema nchi

Katika mkakati unaolenga kuleta mabadiliko kwenye sekta ya biashara, na kuendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania kwa ufanisi zaidi benki ya Stanbic Tanzania