Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
Habari

Wizara ya Nishati kwenye sekta nishati safi ya kupikia kwa mwaka wa fedha 2024/25

April 24, 2024 Admin

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 amewasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara

Read More
Habari

WAKUU WA WILAYA TATU ZA MKOA WA KILIMANJARO WAKABIDHIWA MAGARI MAPYA…

April 24, 2024 Admin

Na WILLIUM PAUL, MOSHI. MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amekabidhi magari matatu kwa ajili ya wakuu wa wilaya za Rombo, Mwanga na Same

Read More
Michezo

Yanga SC waingia Mkataba na ATCL, watanufaika hivi

April 24, 2024 Admin

Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga SC leo wameingia mkataba wa miaka miwili wa ushirika na shirika la ndege la Air Tanzania(ATCL). Katika ushirika huo

Read More
Habari

Ripoti: Ukatili dhidi ya wanaume waongezeka

April 24, 2024 Admin

Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho dunia inapambana kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, matukio hayo yanachipukia na kuota mizizi dhidi

Read More
Habari

SERIKALI YAIPONGEA SUA KWA KUJA NA MBUNI ZA KULINDA UKANDA WA MAGHARIBI MWA BAHARI YA HINDI.

April 24, 2024 Admin

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepongeza kazi nzuri ya Utafiti iliyofanywa na

Read More
Habari

Picha: Naibu Waziri Mkuu Biteko alivyowasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya nishati 2024/2025

April 24, 2024 Admin

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 amewasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara

Read More
Michezo

Tanzania lango la kupitisha kemikali hatarishi ya Ammonium Nitrate

April 24, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mkemia Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Dk Fidelice Mafumiko amesema uwepo wa mwongozo wa usimamizi kemikali

Read More
Habari

Rais Samia Suluhu Hassan Atunuku Nishani Viongozi Mbalimbali

April 24, 2024 Admin

RAIS Samia Suluhu Hassan Atunuku Nishani Viongozi Mbalimbali katika shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais wa

Read More
Michezo

Picha: GSM afika China kushuhudia maonesho ya Canton Fair 2024

April 24, 2024 Admin

Ikiwa Silent Ocean ltd ‘Simba wa Bahari’ kutangaza Good news ya kuwarahisishia wateja wao wote pindi wanapoingia nchini China kwaajili kufanya manunuzi ya bidhaa zao

Read More
Habari

WANAFUNZI FANYENI VIZURI KATIKA ELIMU, MTUPE HESHIMA- KIKWETE

April 24, 2024 Admin

Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze, April 24 NAIBU Waziri wa Utumishi na Utawala Bora ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete amewataka wanafunzi

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,664 3,665 3,666 … 3,703 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.