
Gymkhana, Lugalo moto utakuwaka | Mwanaspoti
LITAKUWA ni juma lililosheheni shughuli nyingi kama mzinga wa nyuki kwenye viwanja vya Dar Gymkhana na TPDF Lugalo yatakakofanyika mashindano mawili makubwa ya kuukaribisha mwezi Agosti jijini, Dar es Salaam. Kwenye viwanja vya TPDF Lugalo, mwezi Agosti utakaribishwa na mashindano ya wazi ya KCB yatakayoshirikisha wachezaji kutoka klabu zote nchini na wachezaji wa jinsi zote…