
Meja Jenerali kuwaongoza Watanzania kushiriki michuano ya gofu Kenya
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mkuu wa Utendaji Kivita na Mafunzo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ), Meja Jenerali Ibrahim Mhona anatarajiwa kuwaongoza wachezaji wa gofu wa Tanzania katika fainali za mashindano ya KCB East Africa Golf Tour, yatakayofanyika Desemba,2024, Nairobi, Kenya. Meja Jenerali Mhona ni miongoni mwa wachezaji wanne wa gofu…