Na Mwanishi Wetu, Mtanzania Digital MABINGWA wa Promosheni Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za dawa za kulevya katika

MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo la Mlimba

Nahodha wa Taliss Swim Club, Delbert Ipilinga amefichua siri ya kuibuka washindi wa jumla kwenye michuano ya 16 ya Klabu Bingwa Tanzania (TNCC) kuwa ni

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa na ngurumo kwa mikoa 26 ya Tanzania Bara na visiwa

TANZANIA imeishauri Benki ya Dunia kutilia maanani vipaumbele vya maendeleo vya nchi za Afrika ikiwemo kuzipatia fedha na ujuzi ili ziweze kutekeleza miradi mbalimbali ya

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga, aliyekuwa mmoja wa waasisi na

Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali imefanya maboresho

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa aina mbalimbali

· Mitambo na jenereta zenye ufanisi wa hali ya juu za Toshiba imeboresha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miundo ya kawaida. NAIROBI.