
Fahamu kuhusu siku ya ndevu na faida zake, siri wanawake kuvutiwa nazo
Dar es Salaam. Siku ya Ndevu Duniani ambayo huadhimishwa kila Jumamosi ya kwanza ya Septemba, ni tukio linalowaleta pamoja wanaume kote ulimwenguni kusherehekea na kujivunia ufahari wa ndevu zao. Ingawa haina historia rasmi kama sikukuu za kitaifa, sherehe hii imekuwa maarufu zaidi duniani kutokana na hamasa ya jamii ya watu wanaopenda ndevu na kufuga ndevu…