
EU yaja na mpango kununua mazao yasiyotokana na uharibifu wa mazingira
Moshi. Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) inakusudia kuanza kuwasajili wakulima wote wa kahawa nchini ili kukidhi matakwa ya sheria mpya ya soko la Jumuiya ya Ulaya (EU). Sheria hiyo inataka mazao ya kahawa yanayokwenda nchi za Ulaya yasitokane na uharibifu wa mazingira. Mkurugenzi Mkuu wa TCB, Primus Kimaryo akizungumza na waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro…