Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
Michezo

MKUTANO WA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KIYOYOZI KUTOKA HAIER – MWANAHARAKATI MZALENDO

April 20, 2024 Admin

Bw. Mohamed Ally, mkurugenzi wa miradi wa kampuni ya GSM Tanzania (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kiyoyozi mmoja wa wadau wa vifaa vya kielektroniki vya Haier

Read More
Habari

Profesa Janabi aonya kuhusu sukari, akikabidhi msaada waathirika wa mafuriko Rufiji

April 20, 2024 Admin

Kibaha. Miaka 300 iliyopita duniani hakukuwa na sukari, hali inayoelezwa iliwaepusha binadamu kupata magonjwa yanayotokana na matumizi ya bidhaa hiyo.  Kutokana na hilo, imeelezwa wakati

Read More
Michezo

Al Ahly yatanguliza mguu fainali ya CAFCL

April 20, 2024 Admin

Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka

Read More
Habari

Madiwani Ileje wamtaka DED ajitathimini usimamizi wa miradi

April 20, 2024 Admin

Ileje. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Ileje mkoani Songwe limemtaka Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Nuru Kindamba ajitathimini katika usimamizi wa fedha za

Read More
Michezo

Matola akiri ubingwa ni mgumu

April 20, 2024 Admin

Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema kupoteza tena mbele ya Yanga kumezidi kufanya safari ya ubingwa kuwa ngumu. Akizungumza baada ya dakika 90 za

Read More
Habari

Sugu arejesha fomu akitaja vipaumbele vitatu kuimarisha Chadema Kanda ya Nyasa

April 20, 2024 Admin

Mbeya.  Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaja sababu zilizomvuta kuwania kiti

Read More
Michezo

Gamondi achekelea kuichapa Simba, ausogelea ubingwa

April 20, 2024 Admin

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, amekiri kuwa haikuwa rahisi huku akiwamwagia

Read More
Habari

Dk Mwinyi awapa mbinu wahandisi utekelezaji miradi mikubwa

April 20, 2024 Admin

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ili wahandisi wazawa wapewe miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali hawana budi kuungana kupata mitaji mikubwa.  Hata hivyo,

Read More
Michezo

Yanga yabakiza sita za ubingwa

April 20, 2024 Admin

Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuichapa kwa mara ya pili ndani ya Ligi Kuu Bara katika msimu mmoja kutokana na kushinda mabao 2-1,

Read More
Habari

Dk Nchimbi aibeba falsafa ya maridhiano ya Rais Samia

April 20, 2024 Admin

Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema siasa ya vyama vingi si ugomvi, akiwataka wana-CCM na Watanzania kutoacha kuzungumza na

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 3,669 3,670 3,671 … 3,690 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.